KARIBU OLELE KWANZA

Pamoja tunajenga umoja na mshikamano.

Kuhusu Kikundi Chetu

Kikundi cha OLELE KWANZA kinajihusisha na kusaidiana kwenye matatizo mbalimbali na nyakati za furaha. Lengo letu kuu ni kupeana ushirikiano na sapoti ya dhati wakati wa misiba, sherehe, na changamoto nyingine za kijamii. Kwa pamoja, tunahakikisha hakuna mwanachama anayesimama peke yake.

JISAJILI KWENYE KIKUNDI PAKUA FOMU YAKO